Thursday, 7 July 2016

ZITTO AFUFUKA NA KOMBORA KWA SERIKALI, MWENYEWE ASEMA HII VITA


Kupitia ukurasa wake wa facebook zitto anaeleza......... Nanukuu "Halafu wapinzani tukisema watu wanasema tunamkwamisha Dikteta.....Lissu...... Makosa ya namna hii ipo siku tutapelekwa vitani kwa ' makosa '

Naamini bado wengine watapata uteuzi humu ndani maana kuna makosa ambayo yatafanya nafasi ziwe wazi.

1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye  uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi  inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kasulu*".

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home