THIS IS SO FUNNY MESSAGE OF CITY BOY BUSS TO SUMATRA AFTER STOPING THEM
Kampuni ya city boy imefungiwa kubeba abiria kutokana na ajari iliyotokea mkoani singida. Lakini kilichowaacha hoi watu ni pale walipoona moja ya gari ya kampuni hiyo ya city boy ikiwa na moja ya ujumbe ukisema "huu mchezo hauitaji hasira".
Kutokana na ujumbe huo umeacha maswali mengi vichwani mwa watu.
kwa mtazamo wako kwa hatua hiyo ya city boy buss kuwa na ujumbe huo ulikuwa unahashiria kitu gani?
Labels: Udaku
0 Comments:
Post a Comment
Nawapenda
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home