Tuesday, 5 July 2016

DIAMOND AMPA "KIKI" ALIKIBA KATIKA OFISI ZA WCB


Diamond Platnumz katoa sababu ya kuwa na picha ya Alikiba kwenye ofisi za WCB. Akiongea na Clouds FM kupitia kipindi cha Perfect Crispin alisema "unajua ofisi ya WCB sio ya Diamond Platnumz sio ya Harmonize sio ofisi ya wakina Tale hii ni ofisi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo imekuwepo kuleta maenedeleo kwenye muziki wetu, kwahiyo nimeamua kuweka zile picha za mastaa ikiwemo ya Alikiba kwamba ndio wasanii wenye mchango kwenye muziki wetu".

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home