Tuesday, 5 July 2016

NEWZZZ....MWEZI WAANDAMA, MUFTI MKUU ATANGAZA KESHO EID MUBARAK

Mufti wa Tanzania Aboubakar Zuberi ametangaza jioni hii kuandama kwa mwezi hivyo kumaanisha kuwa Sikukuu ya Eid Mubarak itasherekewa kesho Jumatano. 

Sikukuu hiyo yenye kumaanisha Tamasha la Chakula husherehekewa na waislam kote ulimwenguni kama ishara ya kukamilika kwa funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan. 

Nawatakieni Ndugu na Jamaa zangu nyote Sikukuu njema ya Eid Mubarak.

EID MUBARAK NJEMA

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home