Thursday, 7 July 2016

HUYU HAPA MISS TANZANIA RUZEDA, ANAOMBA KURA YAKO UKIWA KAMA SHABIKI WAKE

Ingia hapa utamkuta amevaa nguo za rangi hizo hapo juu ila wapo wengi sana lakini hakikisha unamuona mwenyewe akiwa amevalia utepe mweupe wenye jina la Tanzania ni mstari wa pili kutoka chini na ni wa pili kupanda juu ukianzia chini na amekalia upande wa kushoto. chakufanya ukisha muona chini ya picha wemeweka idadi ya kura sasa wewe ziguse zile namba mara ya kwanza alafu subiri gusa tena mpaka wakuletee jibu kwamba umesha vote ... Basi ikishafisha hivo rudi tena keaho keaho na keshoooooo

Mpigie ili awe miss afrika

Link hii hapahapa bonyeza hili neno miss hilo la blue>>>>>>>>>>>>>>>>>>  Miss

Au bofya neno hill VOTE FOR TANZANIA MISS

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home