Sunday, 3 July 2016

MWANAKIJIJI USO KWA USO NA RAIS MAGUFULI

Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Omar Ramadhan akiwa amejawa na furaha baada ya kusalimiana na Rais John Magufuli na mkewe Janeth juzi kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo Barabara ya Kilwa wilayani Temeke yanakofanyika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara (DITF). Picha ya Ikulu

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home