JERRY MURRO AWATAMBIA TFF YA MALINZI, ASEMA INAMAPUNGUFU
Kamati ya maadili imetupilia mbali malalamiko ya TFF dhidi ya Mkuu wa kitengo cha habari cha Yanga Afrika SC, Kamati hiyo imeikosoa TFF kuwa hata barua ya kumuita Jerry Murro ina mapungufu kibao hivyo kamati haikuona sababu ya Jerry kuitwa na kuhojiwa.
"Nimewasemehe wote waliotaka kunitesa na kunidhalilisha, naomba TFF tuungane pamoja kwa ajili ya soka la nchi yetu", Alisema Jerry Murro baada ya kupata taarifa kuwa yupo huru kuendelea na kazi yake.
Labels: Sport
0 Comments:
Post a Comment
Nawapenda
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home