MTOTO ANAYEFANANA NA CHURA AZALIWA NCHINI ETHIOPIA
Habari za hivi karibuni zinasema "mtoto anayefanana na chura azaliwa huko Nchini Ethiopia". Maajabu makubwa yametokea huko Ethiopia baada ya mwanamke mmoja kujifungua au kuzaa mtoto anayefanana na chura. Taarifa hizi hazijwa rasmi kuripotiwa ila tutazidi kukuletea taarifa kamili Mara tu team yetu ya habari inapozinasa.Labels: Breaking News
0 Comments:
Post a Comment
Nawapenda
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home