SUMAYE: NCHI IKIVURUGIKA AKUNA ATAKAYESALIMIKA, TUOMBE
Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Fredrick Sumaye amewataka waumini wa dini zote nchini kuendelea kuiombea nchi iwe na amani kwani ikivurugika hakuna atakayesalimika huku akilitaka taifa kutenda mambo mema yatakayowanufaisha watanzania wote kwa kuwapa haki zinazostahili.
Toa maoni yako.
Labels: Siasa
0 Comments:
Post a Comment
Nawapenda
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home