Sunday, 3 July 2016

KWA PICHA HILI... !!! DIAMOND AWAGAWA MASHABIKI WAKE, MWENYEWE APOTEZEA


"Few Minutes ago at Tanzanian Prime Ministers House (Kassim Majaliwa) talking about how we can take our Tanzanian Music Industry to the Higher Level...am so proud and grateful to have the Kind & Humble Prime Minister and the Government which is willing to help our Music industry to the Maximum🙏", alisema Diamond kupitia ukurasa wake Wa Facebook.

Pia msanii huyo akaenda mbali zaidi na kuitolea tafsiri post yake ya kwanza aliyoiandika kwa kingereza na kusema "Muda mfupi uliopita Nyumbani kwa Mh Waziri mkuu kassim Majaliwa tulipokuwa tukizungumza nae mawili matatu Namna ya kuupeleka Soko la Muziki wa Tanzania katika Hatua nyingine kubwa itayofaidisha wanamuziki, Wadau na Taifa kwa Ujumla.... Hakika najivunia na kufarijika sana kupata Waziri Mkuu mkarimu na Serikali iliyo na nia na juhudi ya kusaidia Tasnia yetu ya Muziki na Sanaa kwa Ujumla🙏".

Kutokana na hali hiyo kumepelekea kuzuka kwa mtafaruku baadhi ya watu  kwa kusema....... Soma hapa chini

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home