HII HAPA HABARI NIMEKUSOGEZEA, YA MILLARDAYO ALIVYOZUA GUMZO KWA MASHABIKI WAKE
Habari kutoka ukurasa wa faƧebook wa mtu wetu wa nguvu MillardAyo aliyoiposti tarehe 30 juni, 2016 muda 17:24, habari hiyo ikiwa imeambatana na picha ya hapo juu inasema....
"#TBT mtu wako wa nguvu nikiwa nje ya chumba nilichokua naishi kwa miaka mitatu Keko Machungwa Dar es salaam wakati naanza kazi ya Utangazaji/Uandishi kwenye Radio na Gazeti la #MsemaKWELI ! Hakijawahi kuwa na umeme kwa miaka yote, pamoja na yote sikuwa na neno kuishi hapa... jirani yangu alikua Bwana @yonathanlanda ndio mambo ya kupasi na kuangalia TV nilikua nilimalizana nayo kwake, tusikate tamaa watu wangu, kama una nia... hapo ulipo unapita tu".
Baada ya MillardAyo kutupia picha hiyo yenye kuambatana na ujumbe matata mashabiki wake wakawa na haya ya kusema..............
Soma hapa chini
NINI MAONI YAKO KWA VIJANA WAKITANZANIA NA DUNIANI KOTE.
Labels: Udaku
0 Comments:
Post a Comment
Nawapenda
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home