Saturday, 2 July 2016

TFF YAIKOMALIA YANGA WA KIMATAIFA, WAPIGWA MAMILIONI YA PESA

Shirikisho La Mpira Wa Miguu Nchini (Tff) Limezuia Shilingi Million 50, Za Yanga Wailizokua Wapewe Kama Zawadi Ya Mshindi Wa Kombe La FA.

Badala Yake Fedha Hizo Zitapelekwa CAF Kama Ushuru Wa Vifaa Inavyoendelea Kuvitumia Yanga Katika Kombe La Shirikisho.

Baadhi ya wadau mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hususani Facebook wakawa na haya ya kusema.

Toa Mtazamo Wako Je! Ilichofanya Tff Ni Sahihi?

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home