Monday, 4 July 2016

HAYA NDIO MAJIBU YALIOPATIKANA SIKU YA ONGEZEKO LA VAT YA 18% KATIKA HUDUMA ZA KIBENKI


Serikali iliagiza kqa mamlaka husika Ifikapo tarehe moja mwezi Wa saba wataanza kukata vat ya asilimia 18 katika Huduma za kifadha katika mabenk. Ilipofika tarehe hiyo mabenki yalituma ujumbe mfupi kwa Wateja wao wakiwafahamisha juu ya ongezeko la tozo hilo la asimimia 18. 

Wakati zoezi hilo la kuwatumia ujumbe Wateja likiendelee ndipo  mteja wa NMB alipokosa ustahimilivu kwa ujumbe alioupokwa kutoka kwa NMB kuhusu ongezeko hilo na kuamua kuwajibu kama ifuatavyo... 

Fatilia hapa chini


Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home