Monday, 4 July 2016

HABARI: MFANYABIASHARA AFUKUA MAITI NA KUCHINJA KICHWA

Katika hali ya kushangaza wengi mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara huko Mkoani Mbeya, amekamatwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi na kukata kichwa cha marehemu, hivyo alizua taflani mahari hapo huku watu wakimzoza na wenhine kutaka kumpiga. Baadhi ya watu walipoulizwa na wapambe wetu Wa mitandaoni waliibuka na kusema inadaiwa alifanya hivyo ili afanikiwe kibiashara.

Hata hivyo mwenyewe alipoulizwa alisema ametumwa na mfanyabiashara mmoja Wa jijini Mbeya kwa lengo la kukipata kichwa hicho ili akipeleka kwa mganga na alikwenda mbali zaidi na kusema alifanya hivyo kwa upande wake ili aweze kujipatia pesa kwa tajiri huyo na ndio maana hakuona hajabu kwenda mchana kweupe. Hata hivyo wasaka habari wetu bado wanaendelea kulifuatilia tukio hill. 

Baki hapa hapa tuzidi kukuhabarisha.

Tazama baadhi ya picha hapa chini za mtuhumiwa akiwa na kichwa hicho alichokikata kwa marwhemu.



Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home