Tuesday, 5 July 2016

KWA KAULI HII WALAHI ZARI HANA MPINZANI KWA DIAMOND, WANAOSUBIRI AACHIKE SASA WAKIONA CHA MOTO


Baada ya mdada Zari ambaye ni mzazi mwenzake na msanii diamond kutupia picha ya hapo juu katika mtandao wa instagram wakiwa wamevali nguo zenye uelekeo Wa rangi nyeusi huku akiambatanisha maneno makali katika picha hiyo yakisema "Baba na Mama mjengo.... Milele salama".

Baada ya kuunasa ubuyu huo tulijaribu kuwasiliana na team mojawapo ya mwanadada zari nakusema  " Zari ameamua kupiga dongo hilo ili liwaendee upande wa pili kwani wanawaza na wanaombea yeye na diamondi waachane". Tulipojaribu kumdadisi kuhusu huo upande wa pili ni upi akawa na haya ya kusema "upande wa pili ninaovojua mimi ni wale wanaomsengenya wakati wote na hawana cha kufanya kazi kumsemasema mama Tiffah.... yaani ivo". Vyanzo vyetu vilijaribu kumtafuta zari hewani lakini hakupatikana.

Kutokana na post hiyo aliyoituma zari katika mtandao wa instagram washabiki wake wakawa na haya ya kusema.....

Soma hapa chini


Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home