Monday, 4 July 2016

AJIRA AJARI AJARI CITY BUS ZAGONGANA ZAIDI YA WATU 15 WAPOTEZA MAISHA PAPO HAPO



Ajari yahusisha CITY BUS imegongana uso kwa uso Na CITY BUS iliyokuwa inatokea Mwanza.  Zote kampuni moja, zaidi ya watu kumi Na 15 wamefariki papo hapo.

Hivyo jaribu kuwasiliana na ndugu yako Kama alikuwa anasafiri kwenda Dar kutokea Mwanza Na kwenda Mwanza kutokea Dar.

Kwa heshima na tahadhima siwezi kuweka picha zote kwani Ni tukio baya kupita kiasi. Ajari hiyo imetokea maeneo ya baada ya kutoka wneo linaloitwa bahi kwa mbele kidogo.

Kazi ya Mungu haina makosa.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home