Thursday, 7 July 2016

THIS CARTOON SO FUNNY, LOOKING AMAZING....!!!!!

Hii katuni inamuonyesha mwanaume na mwanamke picha ya kwanza hapo juu inayoonekana mwanaume anamfukuzia mwanamke na hatimaye mwanamke akawa anamkimbia na hiyo ya pili inaonekana baada ya kukimbizana kule ya kwanza inatupa ufunuo kwamba inawezekana mwisho wa safari mwanamke alihishiwa pumzi ya kukimbia hivyo akaangukia kitu. Sasa hii picha ya pili mwanaume sasa anamkimbia mwanamke.

Swali je huyo mwanaume ataashiwa nae pumzi au?

Niachie koment yako hapo chini

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home