HARMONIZE: CHALLENGE IS A PART OF LIFE LET ME STRUGGLE AND NEVER GIVE UP
Katika ukurasa wake Wa Facebook Msanii Harmonize amesema "Muda mwingi uwa nafikiri kufikisha mziki mbali zaidi changamoto ndiyo zinazonipa uwezo wa kupeleka mziki mbali kwa hiyo wewe changamoto zako ndiyo njia yako usikate tamaa...".
TOA MAONI YAKO
JE NI KWELI AKISEMACHO MSANII HUYO
Labels: Udaku
0 Comments:
Post a Comment
Nawapenda
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home