Friday, 8 July 2016

RAIS MSTAAFU WA TANZANIA JK AGONGA GRASI ZA UN

Taarifa zisizo rasmi zinasema...Rais mstaafu wa Tanzania Dr. Jakaya M. kikwete anaweza kuwa Katibu mkuu wa umoja wa mataifa jina la Dr. Kikwete limekuwa miongoni mwa majina matatu yatakayopigiwa kura na baraza la umoja wa mataifa Dr. Jakaya kikwete anapewa nafasi kubwa sana ya kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home