Friday, 8 July 2016

MURO AGONGWA 3 MILIONI, MWENYEWE ASEMA MCHEZO HUU HAUTAKI HASIRA...!!!!

Taarifa zinazo zagaa mitandaoni zinasema.... Jerry muro amefungiwa kushiriki kwenye shughuli zote za soka kwa mwaka mmoja pamoja na kulipa faini ya shilingi milioni 3. 

Adhabu hiyo imetolewa na kamati ya maadili ya TFF baada ya kikao kilichoongozwa na mwenyekiti wake Wilson Ogunde kumkuta Jerry Muro na hatia katika makosa mawili kati ya matatu aliyotuhumiwa nayo ikiwemo pamoja na kutoa kauli za kichochezi na kukaidi agizo la TFF.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home