Friday, 1 July 2016

MKUU WA WILAYA AJITUMBUA "KICHUNUSI" KABLA YA KUWA JIPU

Taarifa zinazozagaa mitandaoni kwa sasa zinasema "Mkuu wa Wilaya (DC) Mteule wa wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Ally Masoud Maswanya ametangaza kujiondoa katika nafasi hiyo ya ukuu wa wilaya".

Kufuatia kujiondoa huko kwa Ally Masoud, nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kongwa, John Ernest Palingo anakwenda kuwa mkuu wa wilaya ya  Mbozi, na Kongwa itasubiri uteuzi mpya utakaofanywa na Rais Magufuli.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Nawapenda

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home